Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Stephen E. Katemba amewataka watumishi wa Hospitali teule ya Wilaya {Ifisi} kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwa na kauli nzuri kwa wananchi.
Katemba ameyasema hayo wakati wa kikao na watumishi wote wa hospitali teule ya wilaya na kuwahasa pamoja na kuwasisitiza wahakikishe wanafanya kazi kwa bidii na kutoa huduma nzuri kwa wananchi
“Mimi ni waombe sana haya makundi ya watoto, wakina mama wajawazito pamoja na wazee hakikisheni Mnawawathamini na kuwapa huduma kwa wakati” Katemba
Pia ameutaka uongozi wa hospitali teule ya wilaya kuhakikisha wana weka mazingira na mahusiano mazuri kwa wafanyakazi ili wawezekutekeleza majukumu yao ya kila siku
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.