Halmashauri ya wilaya ya Mbeya katika kipindi cha Julai 2018 hadi juni, 2019 imewawezesha wananchi kiuchumi ambapo katika kipindi hicho halmashauri imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi 468,861,500.00 katika vikundi 29 vya vijana wanawake na walemavu.
katika fedha hiyo, vikundi vya wanawake vimepatiwa mikopo yenye ya Tshs. 178,996,000.00 na vikundi vya vijana vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Tshs. 289,864,500.
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.