Imewekwa: October 26th, 2020
“Kwa kipindi hiki chondechonde badilisheni mwenendo kama mlikuwa mnajichanganya sana kwa kipindi hiki cha uchaguzi acha kabisa, tusije chafua sura ya tume ya uchaguzi “ Ndg.Stephen E Katemba.
Pia K...
Imewekwa: July 11th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila ameushauri uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kuweka utaratibu wa kukopesha daladala, matipa, matrekta na pawatila kwa vikundi vya wanawake, vij...
Imewekwa: June 20th, 2020
“Leo hii niwapongeze watumishi na viongozi wa hamashauri ya wilaya ya Mbeya , milioni sabini kutoka katika mapato ya ndani zilizotumika katika kujenga Zahanati ya Galijembe mlikuwa na uwezo ...