Imewekwa: January 29th, 2025
Katibu tawala msaidizi wa Mkoa wa Mbeya CPA Edward Malima ameipongeza Halmashauri ya Mbeya DC kwa kufanikisha ukusanyaji mzuri wa mapato uliofikia asilimia 71% kwa mwaka 2024-2025.
‘’ Kwenye upande...
Imewekwa: January 20th, 2025
Serikali ya kijiji cha Mashese kata ya Ilungu Halmashauri ya Wilayani Mbeya, imewalipia bima za afya wananchi wake zaidi ya 1500 kwa gharama ya million kumi ili kuwa na uhakika wa huduma za kiafya na ...