Imewekwa: September 21st, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imekusudia kutumia kiasi cha shilingi million 253 kutoka mapato yake ya ndani kwa ajili kumalizia ujenzi wa vituo vya afya vya Ilembo,Santilya na Ikukwa ili kuwawe...
Imewekwa: September 20th, 2018
Serikali ya Jamhuri ya Muugana wa Tanzania imefuta machozi ya Maafisa Elimu kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kwa kuwapatia pikipiki za miguu miwili.
Pikipiki hizo zimekabidhiwa na Mkuu wa wil...
Imewekwa: September 18th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya Stephen E.Katemba amewataka wananchi wa kata ya Ilembo na Santilya kuhakikisha wanashirikiana na halmashauri katika kumalizia vituo vy...