Imewekwa: October 24th, 2018
Watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauhri ya wilaya ya Mbeya wameonywa kuacha tabia ya ubadhirifu wa fedha za mapato zinazokusanywa kwenye maeneo yao.
Onyo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji ...
Imewekwa: October 12th, 2018
Menejimenti ya Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imetenga siku mbili ya alhamisi na ijumaa kwa ajili ya kukagua ukusanyaji wa mapato.
Azimio hilo limepitishwa na kikoa cha dharura cha wakuu wa idara k...
Imewekwa: September 24th, 2018
Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso amekemea vikali tabia ya wananchi wa kijiji cha Nsenga,kata ya Swaya ya kuharibu miundo mbinu ya maji kwani serikali imekusudia kuhaki...