Imewekwa: May 4th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi 197,306,620/= baada ya kushinda kesi 5 katika mahakama mbalimbali nchini. Hayo yamebainishwa na mwanasheria wa halmashauri, W...
Imewekwa: April 26th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla amewataka viongozi wa Serikali za mitaa kuandaa utaratibu utakaowashirikisha wananchi katika kuilinda na kuitunza amani kwenye maeneo yao. Makalla ametoa agizo...
Imewekwa: April 21st, 2018
Wasichana 31,396 mkoani Mbeya wenye umri wa miaka 14 wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya kinga ya saratani ya mlango wa kizazi.
Taarifa hiyo imetolewa na msaidizi wa Katibu Tawala Mkoa anay...