Imewekwa: March 1st, 2024
Halmashauri kuu imepokea taarifa ya utekeleza wa ilani ya chama cha Mapinduzi ilotekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Mbeya.
Halmashauri Kuu imempongeza Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kwa utekelezaj...
Imewekwa: February 29th, 2024
Mhe. Beno Malisa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ameongoza kikao cha DCC ya bajeti mwaka 2024/2025 tarehe 29.02.2024 katika ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.
Bajeti tarajiwa ni Tsh. 71 Bil a...
Imewekwa: February 28th, 2024
Kamati ya siasa ya wilaya ya Mbeya imefanya ziara ya siku tatu kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Mbeya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama cha mapindu...