Imewekwa: March 27th, 2018
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya, Mhe. Jacobo Mwakasole amesema kuwa miradi ya maendeleo ikisimamiwa na kutekelezwa vyema, itasaidia kuondoa chuki ya wananchi dhidi ya Serikali yao.
Mhe. Mwakasole a...
Imewekwa: March 22nd, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kutoa mikopo kwa vikundi vya wanawake na vijana kila baada ya miezi mitatu. Ahadi hiyo imetekelezwa baada ya kutoa mkopo wa fedha we...
Imewekwa: November 13th, 2017
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imefanya ziara ya siku tatu ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri hiyo. Miradi iliyotembel...