Imewekwa: January 15th, 2020
Baraza la madiwani halmshauri ya wilaya ya Mbeya limepitisha rasimu ya bajeti ya kiasi cha shilingi bilioni 47,160,060,466 kitakacho kusanywa na kutumika kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
A...
Imewekwa: January 6th, 2020
Wakazi wa kitongoji cha Itete kilichopo katika kijiji cha Iwanza kata ya Ihango halmashauri ya wilay ya Mbeya wametakiwakushirikiana na serikali katika ujenzi wa miradi ya maendeleo kwa lengo la kubor...
Imewekwa: November 22nd, 2019
Madiwani halmashauri ya wilaya ya Mbeya wamepatiwa elimu ya namna taasisi mbalimbali za serikali zinavyo hudumia wananchi kwa kwakuwawezesha wezesha wananchi kiuchumi.
Mafunzo hayo yali...