Imewekwa: May 21st, 2018
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2018, Ndg. Charles Kabeho amekabidhi mkopo wa shilingi milioni 105 kwa vikundi 18 vya wanawake vilivyopata shilingi milioni 49 na vikundi vya vijana 9 viliv...
Imewekwa: May 4th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi 197,306,620/= baada ya kushinda kesi 5 katika mahakama mbalimbali nchini. Hayo yamebainishwa na mwanasheria wa halmashauri, W...
Imewekwa: April 26th, 2018
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla amewataka viongozi wa Serikali za mitaa kuandaa utaratibu utakaowashirikisha wananchi katika kuilinda na kuitunza amani kwenye maeneo yao. Makalla ametoa agizo...