Imewekwa: July 3rd, 2025
Halmashauri ya wilaya ya Mbeya mkoani Mbeya imetoa na kukabidhi hundi ya mfano ya zaidi ya shilingi million mia saba kwa vikundi vya wajasiriamali, wakulima na maafisa usafirishaji 32 wilayani humo.
...
Imewekwa: June 10th, 2025
Serikali Mkoani Mbeya kupitia wakala wa barabara Tanzania TANROADS, imeanza kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutengeneza barabara ya mchepuk...
Imewekwa: June 6th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Bi Erica E Yegella amewataka wananchi wa kitongoji cha Idugumbi kilichopo Kata ya Utengule Usongwe kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na Serik...